Thursday, May 25, 2006

Ukistaajabu ya Musa Utaona ya Virauni !!

Jamaa mpenda wake za watu siku moja alikuwa akila uroda Na mke WA jirani mtaa wa pili usiku wakati mumewe hayupo.

Ghafla, mume karudi na kuanza kupiga hodi mlango wa mbele, mke kusikia mumewe karudi, kahamaki na kukimbilia kumtoa jamaa kupitia mlango wa nyuma.

Jamaa alikurupuka mbio, akaruka ukuta akiwa uchi wa mnyama akakimbia hadi nyumbani kwake.

Alipofika kwa mkewe akamwambia kapigwa na majambazi njiani wakamvua nguo zote na kumwibia kila kitu. Mkewe akamwambia "pole mpenzi lakini hawa majambazi si watu wema kabisa, yaani wamekuvua nguo zote na kukuvalisha hicho kidude (condom)????

How do you get out of this???? Ati 2 of the Jambazi's were chic's and they even tried to rape you but you ponyoka'd?? eeh WHAT??

11 Comments:

At 1:25 PM, Anonymous Anonymous said...

Lol!

Hadithi hii niya kuchekesha

Nani kami bj:)

 
At 2:37 PM, Blogger Kabinti said...

LMAO there the guy has been busted bila excuses

 
At 2:42 PM, Blogger Uaridi said...

Hahahahahah!!!!

Siku za mwizi... as they say.

 
At 12:42 AM, Blogger Nakeel said...

Sweetie did you just blow me out with laughter.
Mimi pia kama shangazi Mshairi kisa hiki nichakuchekesha sana. Kweli ulimwengu una vituko

 
At 5:52 AM, Blogger Shaggy said...

Mshairi - Tena mno, nakwambiiia, dunia hii yaelekeya wapi? Vituko na vigelegele.

Kabinti - Busted?? The dude is cooked, like its over with, darling..

Uaridi - Siku za huyu bwana zimefika ukingoni, lakini mke wake anampenda tena sana, kwahivyo sijui uhakika atamtoroka. Kitandani huyu mzee ni dume na yeye hutunza mambo vilivyo. Natumaini bibi alimsamehea ili asipotezee mali hii kali sana.

Naks - Glad I made you laugh, anything to put a smile on your face dear. Dunia rangi rangile nakwambiiia. Mzee huyu ni wa Vituko na kuchekesha mno. Mtaani wake wawatu walimtamani huyu mzee tena sana. Alikuwa ni dume ya kijiji.

 
At 6:19 AM, Anonymous Anonymous said...

Dume ya kijijiji eh BJ?

LOL nawe kweli umefanya alhamisi yangu iwe jema, tena mno.

Kuwa wa wikendi jema, BJ.
(Flossing my Swa, I tell you - hope Maitha et al dont even walk over here, I shall be shamed)

 
At 6:21 AM, Anonymous Anonymous said...

Hadithi hii inatufunza yakwaba,haraka haraka ,hata ya mwizi,haina baraka hata kidogo.

 
At 6:42 AM, Blogger Stephen A. Bess said...

Haa haaa!!!! Thanks for translating that for me Bro J! That was funny! Is that your own story? That was great! Have a great weekend, bro. It's Memorial Day weekend here in the US so we are going to be BBQ-ing this weekend. Peace~

 
At 9:33 AM, Blogger spicebear said...

BJ dearest, sijakudisown. mpaka you are willing to pay for my attention? this story of yours has amused me sana so i'll consider ... ai, what am i saying? no deal! lakini nione kando *wink*

now, i shall channel akiey and say this is one of those situations that would require a "wololololo yaaaa yeeh, mama kayai si ukuje uone! na ufanye haraka eiih!" al i could think of was him running around and with that kidude, haha!

 
At 7:21 AM, Blogger akiey said...

Rhaaahahha!!! Bruh Jero, Spicebear na wengineo: "Hata Mayasa, Maliwaza, Mama Nyanduse na Mama Sibuor apana weza kusamhea mtu ile narukiarukia bibi za watu kama chura kwa Nairobi dam.!!"

Yaani nimecheka hadi meno ya Disemba yakaziba jua.

Endelea vivyo-hivyo Bro J, lete raha kila mwisho wa wiki mazee!

 
At 5:46 AM, Blogger Shaggy said...

Guess - Natumaini mpenzi wangu ulikuwa na wikendi njema. Ndiyo, huyu bwana alikuwa ni dume au jogoo ya kijiji. Naona waelewa lugha, not bad.


First echo - ati hadithi hii yatufunza nini? Ati yakwaba..... hahahaaa nawe first echo unavitisho kweli umenichekesha tena sana. Mkikuyu kamili kutoka kamiriithu ameingia kwenye blogu. Karibu Bwana...

Steve - you know playa you are my peeps & I got to keep you in the loop. Have a great week pal. That was a nice long weekend, was it not???

Spicebear - super disser kwa jine ingine. You made my day too, ati this is a wololo situation, damn right it is. Have a good week dear. Naona hata wewe hadithi hii ilikugusa rohoni pia...

Aikey - Mayasa na Nyanduse, na Miize na Maliwaza pia, wakumbuka blacky pia?? Nawe Aikey umenirudusha huko siku za mwanzo mwanzo.

Ati meno ya disemba, nawe mzee unavichekesho pia. Nami nitaendelea kuleta raha tele. Asanti sana bwana.

ALL - all my Swa is out. It probably has been a very very long time since I wrote anything in swa, am amazed at how exciting it can be. Enjoy, all and have a pleasant week too.

 

Post a Comment

<< Home